Utangulizi

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
Bismi Allāhi Ar-Raĥmāni Ar-Raĥīmi

Shukrani zote ni zake Mola wa uliwengu wote, na mwisho mwema ni wa wamchao Mwenyezi Mungu, na hapana uadui isipokuwa kwa madhalimu.

Nashuhudia kuwa hapana anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah Peke yake Asiye na mshirika mwenye Ufalme na haki iliyo wazi. Na nashuhudia kuwa Muhammad (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) ni mjumbe wake na Mtume wake na mwisho wa wajumbe wake na ni kiongozi wa wacha Mungu.

Hakika Mwenyezi Mungu amemtuma Mtume wake Muhammad (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam) awe dalili iliyo wazi  juu ya waja wake, na awabainishie yale aliyoteremshiwa katika Kitabu, na awe mfano mwema wa kuigwa na walimwengu wote, na ili watu wapate kuwa na muongozo mwema katika dini yao na dunia yao.

Ametumwa kutufundisha itikadi sahihi pamoja na hekima kwa ajili ya kutengenea hali ya umati wake, na pia kuwaweka juu ya njia safi na sahihi, ili watu wawe juu ya kitanga cheupe, mchana wake sawa na usiku wake, na asiende kinyume na njia hiyo isipokuwa mpotofu.

Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Ta'ala) anasema kwenye Qur’an tukufu kuwa:

"Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu"
Aali-‘Imraan: 19

"Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na Nimekutimizieni neema Yangu, na Nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini."
Al-Maaidah:  3

Na Akasema:

"Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye khasara."
Aali-‘Imraan:  85

Na tunaamini kuwa yeyote atakayedai kuwa ipo dini nyengine inayokubaliwa na Mwenyezi Mungu isiyokuwa Islamu, kama vile dini ya Kiyahudi au ya Kinasara au dini nyengine yoyote, huyo anakuwa amekufuru, na lazima atubu kwa kufru yake hiyo. Akitubu anasamehewa, ama asipotubu huyo anauliwa kama ni Murtaddi, kwa sababu anakuwa ameikadhibisha Qur-aan tukufu.

Na tunaamini kuwa hapana tena Mtume baada ya Muhammad (Swalla Llaahu ‘alayhi wa sallam), na yeyote atakayejidai utume baada yake au akamsadiki mwenye kujidai utume anakuwa kafir, kwa sababu anakuwa amemkadhibisha Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na Waislamu wote.

Katika tovuti Baraza hii, nakusudia kukumbushana iliyo kweli, na kuonyesha tofauti zetu sisi Waislam na wale ambao hawajajahaliwa kuwa Waislam, Insha'Allah, Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma, atwazindua na kuwaonyesha kweli ili nao wawe miongoni mwa walio ongonga Insha'Allah.

Vilevile, nakusidia kupitia tovuti baraza ili, kuonyesha utukufu wa Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Ta'ala) Utukufu ambao ameuonesha kwetu sisi, kupitia vitu mbali mbali, tunavyo viona na tusivyo viona. Kuanzia vijidudu vidogo vidogo tunavyoviona, mpaka madubwana makubwa kabisa yaliyoko katika makundi ya nyota (Garaxy) na sayari zilizo kubwa kabisa kuliko jua letu ili. Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma na Mwingi wa Ukarimu ambaye ni m-bora katika kuumba na kutengeneza anasema katika Qur'an kuwa;


Qur'an, 2:164
Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia.


Aya hii ina mazingatio makubwa kabisa kama itafanyiwa kazi. Kwani baina ya mbingu na ardhi kuna vitu vingi sana ambavyo wanasayansi wa leo wanavigundua kuwa vipo na vina faida kubwa kwa maisha ya mwanadamu na viumbe vingine kwa ujumla. Na bado Mwenyezi Mungu (swt) anatubainishia zaidi katika kuwa:


Qur'an, 45:13
Na amefanya vikutumikieni vilivyomo mbinguni na vilivyomo katika ardhi, vyote vimetoka kwake. Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wanao fikiri.

Je ni vitu gani hivyo ambavyo vimewekwa kututumikia vilivyomo mbinguni na ardhini? Basi na tuwe wenye subra kubwa na wenye tafakuri za kina tunaposoma kitabu cha Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Ta'ala) yaani Qur'an tukufu ili tupate mazingatio ni nini Allah (Subhaanahu wa Ta'ala) amekusudia, kutufahamisha waja wake. Basi yaliyoko katika web hii ni baadhi ya maajabu machache tu kati ya chungu ya miujiza yaliyomo ndani ya Qur’an tukufu.
Basi Insha'Allah katika kusoma makala haya, Mwenyezi Mungu (Subhaanahu wa Ta'ala) atujaalie hiwe ni chachu ya kumcha Allah (Subhaanahu wa Ta'ala) katika kiwango kile kinacho takiwa mja awe nacho, Insha'Allah.


Rejea za Qur'an: 
Tafsiri ya Qur'an niliyo itumia humu ni tafsiri ya Kiswaili ya Sheykh Ali Muhsin Al-Barwani.
Shukrani

Kwanza kabisa nina mshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma na mwingi wa ukarimu ambaye ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo, ambaye amenipa uzima na uwezo wa kuandika, ili nami niweze kufikisha mawili matatu kwa waja wake.


Ninamtakia rehma na amani Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) ambaye ameitoa dunia hii katika giza la ujinga, na kuingiza katika nuru ya Uislamu.
Uislamu ambao ndiyo njia (Dini) sahihi mbele ya Allah (Subhaanahu wa Ta'ala). Pia shukrani kwa Mke na watoto wangu kwa kunipa moyo wa kuendelea kuandika makala haya, Bila ya kuwasahau ndugu na marafiki zangu, Mwenyeezi Mungu Insh'Allah awalipe kila la Kheri, na kwa wote walio nisaidia kwa njia moja ma nyingine Insha'Allah.

Wasiliana Nami kwa email hii: amuasasa
_____


Useful Links:


Introducing Islam:
The Holy Quran the Main Source in Islam  (PDF)   (Recitation & Translation)
7 Reasons to Read the Glorious Quran
Who Wrote The Quran? (PDF)
You Ask And The Quran Answers !
Lord's Words
Most Common Questions asked by Non-Muslims
Islam FAQ (Frequently Asked Questions)
What is Islam? Who is Allah? What is the Quran? (Audio)
God Concept In Islam
The Concept of God in the Major world Religions
God Names 
Introduction for Non Muslims 
Introducing Islam
Introduction to Islam
Understanding Islam and Muslims
A Brief Illustrated Guide To Understanding Islam
Islam Is ... (Islamic Mp3 Audio)
A Call to the Real Salvation
Statistics of the Muslims' population around the World 
Muslims in the West and around the world today
The Purpose of Life
The Origin of Life - an Islamic Perspective
Why were we Created?
Purpose of life... Where did we come from? Where are we going? (Audio)
Discover Islam
Discover Islam (IslamWay)
Islam: A Mercy for All Nations
Real Islam Website
Some Benefits of Islam & Islam's Features
Why Islam? 
Islam the Perfect Religion
Your Way to Islam: by Dr. Mohammad Al-Ashqar
Islam: The True Religion (By Bilal Philips) Audio
Explore & Discover & Be Convinced That Islam Is The truth !
It Is The Truth !
Why Should You Be A Muslim (By Dawud Adib) 
Why do Muslims think that Islam is true ? Is there any factual basis ?
How can we be certain that Islam is the only infallible Truth? 
Islam! - The Modern Alternative - Why Islam is good for you !
The True Religion
Why I chose Islam? By M. Emery 
Islam Today 
GREAT GOOD Audio for Non-Muslims 2   Videos
Some Videos on Islam and different topics

The Amazing Qur'an by Gary Miller Audio
The Amazing Quran
Science Leads to Islam
Islam and Science
Some Scientists Declaration about The Holy Quran and Islam
The Holy Quran and the modern science PDF
Miraculous Quran
The Quran: A book you can believe in
More links about Islam and science

Islam is your BIRTHRIGHT
Whom Must We Worship ?
Oneness of God (Allah) : The Solution to the Trinitarian Controversy 
Misconceptions about Islam
Islam: Misunderstood throughout the World
Orientalism, Misinformation and Islam
Racism and Islam

What Does Islam Say about Terrorism?
Does Islam Equal Terrorism? - by Yusuf Estes (Audio) (Video) (Buy)
Terrorism - Islam's Viewpoint By The Islamic Fiqh Council, Saudi Arabia
Islam and The Issue of Terrorism
Myths about Islam - Terrorism, women, the 'Nation of Islam' and more 
Tolerance in Islam
Jihad Explained 
What Really Happened ?

The Muslim Belief
A-Z of Islam By Dr. Abu Ameenah Bilal Philips
Life After Death
New Muslims Stories   by countries
More New Muslims Stories more
Former Christian Priests and Missionaries who have Embraced Islam !
Why They Embraced Islam ?
Journey to Islam Stories (Audio)
How To Become a Muslim (PDF)
I want to embrace Islam but ....Many Questions & Answers !
I want to be a Muslim..Now what ?
Easy Guide For New Muslims
New Muslims
New Muslims Guide
Muslim Converts
WELCOME BACK !
New Muslims Converts Group
 

Christianity and Islam According to The Bible and The QuranYes! I Converted to Islam and Here is WhyIslam and TerrorismDawah Books for Non-Muslims


Basic beliefs of Christians and Muslims side by side
Jesus The Islamic and Christian Views Compared
We Believe in Jesus !
ISLAM AND CHRISTIANITY - A COMPARATIVE ANALYSIS
How did Christianity become mixed with polytheistic beliefs?
Muslim Christian Dialogue
Jesus (peace be upon him) In The Holy Quran
The Truth About Prophet Jesus
The Real Story Of Mary From the Holy Quran
Birth Story of Jesus From the Holy Quran 
Christ in Islam by Ahmed Deedat
Who is our Savior? (Allah or Jesus)
Is Jesus the same as God ? 
Did God Become Man? By Abu Ameenah Bilal Philips
What Is His Nature? (God In Christianity) By Naji Al-Arfaj (PDF)
The True Message of Jesus Christ By Dr. Bilal Philips
Jesus - The Hidden Facts!
True Christianity
Who Was Jesus According to Jesus 
The Bible Denies the Divinity of Jesus
What Did Jesus Really Say?
The God That Never Was
Prophet Jesus (PBUH) Never Claimed Divinity
Who invented the Trinity?
Was Jesus Sent to be Crucified?
The Bible Led Me to Islam
What the Bible Says About Muhammed by Ahmed Deedat
What all Christians and Jews MUST know about the Bible
Examining The Bible
Examining The Quran
Is the Bible the word of God ?   Video 
The Bible ... a closer look
Gospel of Barnabas !
Barnabas, His Gospel, and its Credibility
A List of Biblical Contradictions
50,000 Errors in the Bible!
What is the Relationship between Christianity and Buddhism ?
Comparisons between Christianity, Hinduism, Buddhism and Islam
Comparative Religion (Zakir Naik page)
Islam Compared With Other Religions (Audio)
Questions for Jehavoh's Witnesses
Corruption of the Torah ?
Trinity Explained 
Muslim Answers
Selected Verses from The Holy Quran a Christian Need to Read 
Answering Missionaries 
Islam Answers (from Bible!)
Islam Answers Back
Islamic Awareness against Christian missionary lies
Veiws of Non-Muslim Scientists about Islam
What Have They Said About Islam? (Audio)
The Call to Islam Club (A Place to Debate or Discuss Your Views and Islam)
Links about Christian-Muslim Debate
Hinduism exposed
50 Qeustions And Answers On Islamic Monotheism
Aqeedat (creed of ) Ahl Assunnah Waljama'ah by Shaikh Ibn Uthaimeen
33 Lessons For Every Muslim

This Is Muhammad ! (PBUH)
Muhammad (PBUH): The World’s Great Prophet
Prophet Muhammad (PBUH): Allah’s Messenger to the Whole Mankind
Twelve Proofs that Muhammad is a true Prophet
The Prophet (PBUH) as the Model for Truthfulness and Trustworthiness
Muhammad the Greatest by Ahmad Deedat
What the Bible Says About Muhammad (PBUH) ?
Muhammad in the Bible: What all Christians and Jews MUST know about the Bible 
The Natural Successor to Christ by Ahmad Deedat
Prophet Muhammad in Hindu Scriptures
Prophet Muhammad In Parsi Scriptures
What Famous Non-Muslims Say About Prophet Muhammad ?
Muhammad's Prophethood an Analytical View
The Final Prophet
Articles about the Final Prophet
The Life of Muhammad (PBUH)By Muhammad Husayn Haykal 
Biography Of The Final Messenger (PBUH)
Love of the Prophet (PBUH) by Dr. Bilal Philips [part1] [part2]
The story of Muhammad (PBUH) read by Yusuf Islam
Adherence to Islam and Reviving it Based on the Sunnah of the Prophet Muhammad (PBUH)
Companions of The Prophet 2 3 4
More Links...
Enlightenment about some sections in Islam:
Woman in Islam
Women Converts to Islam Stories
Islam The choice of Thinking Women By: Ismail Adam Patel
The Status of Woman in Islam
The Distorted Image of Muslim Women
Women in Islam versus women in the Judaeo-Christian tradition, The myth & The reality
Good Audio about Women in Islam 2
Muslim Family in the West (video)
The Wisdom behind the Islamic Laws Regarding Women
Many More Articles on Women In Islam
Why Do Muslim Women Have to Cover their Heads?
HIJAB: How It Protects And Benefits Women And Society
This Is Hijab (song)
Sisters Corner : teaching about Islam for women 
The New Muslimah Group - For Women Who Rediscovered Islam 
The Ideal Muslimah
The Muslim Woman and Her Husband (PDF) 
The Attributes of the Ideal Muslim Husband
How to make your wife happy
Fatawa Regarding Mulsim Women by famous Scholars
Al-Usrah.net: The Muslim Family Network, Islam Articles, Discussions
Fiqh of Marriage
Ruling on a Muslim man marrying a non-Muslim woman and vice versa 
Female Students of Knowledge
Muslim Mom
Kids in Islam
Islam 4 Kids
Muslim Kids Network
Games, Anasheed, Stories for your Kids
Muslims names : boys and girls
A2Youth The Youth's Resource to Islam
Muslim Youth
The Islamic Ruling on Homosexuality
Islamic Perspective of Sex 
Sex and Sexuality in Islam
The Holy Quran and Islamic Audio:
The Holy Quran Reciting (more than 90 recitor from Islamway.com)
another big Recitation site (Islamweb.net)
The Holy Quran Reciter by Flash design (very good for memorizing)
Holy Quran Translation in English
Recitation of the Translation of the Meaning of the Holy Quran
Translations of Holy Quran in 19 language
Material on the Authenticity of the Qur'an
Explanation (Tafseer) of the Holy Quran
Tafseer Ibn Kathir
The Holy Quran and the modern science
Miraculous Quran
Scientists On The Qur'an 
The Amazing Quran
Scientific Signs of Qur'an & Sunnah
Quran, The Miracle Of Islam
Holy Quran Resources on the Internet
Quraan.com Authentic Islamic Literature
How to Recite the Holy Quran (Tajweed)
King Fahad Holy Quran Complex in Madinah 
Holy Quran broadcasting from Riyadh 
Islamic Audio
Islam Way Audio Library
IslamWeb Audio Section
Your guide to best Islamic audio !
Islamic Audios in World's Languages
Alminbar : 100's of ready Friday Khutba in English 
Some Videos on Islam and different topics
Al-Majd TV Live Broadcasting
Live Islam Broadcasting
Islam House Live Broadcasting