KJV, Genesis 9:18-26
18. And the sons of Noah, that went forth of the ark, were Shem, and Ham, and Japheth: and Ham is the father of Canaan.
19. These are the three sons of Noah: and of them was the whole earth overspread.
20. And Noah began to be an husbandman, and he planted a vineyard:
21. And he drank of the wine, and was drunken; and he was uncovered within his tent.22. And Ham, the father of Canaan, saw the nakedness of his father, and told his two brethren without.
23. And Shem and Japheth took a garment, and laid it upon both their shoulders, and went backward, and covered the nakedness of their father; and their faces were backward, and they saw not their father's nakedness.
24. And Noah awoke from his wine, and knew what his younger son had done unto him.
25. And he said, Cursed be Canaan; a servant of servants shall he be unto his brethren.
26. And he said, Blessed be the LORD God of Shem; and Canaan shall be his servant
Na hii hapa chini ni tafasiri yake:
Swahili: version18. Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.
19. Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
20. Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21. akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
22. Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
23. Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
24. Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
25. Akasema, (!!?)
26. Akasema, (!!?)
Swali
linakuja:
Sina uhakika kama wasomaji watakuwa wamegunda kitu hapa, ukiachana na hiyo tafasiri ya kiswahili, iliyobania baadhi ya maneno. Ukisoma vema haya masimulizi ya Nuhu utagundua jambo moja:
Mistari inatufahanisha kuwa Hamu ni baba wa Kanaani. Na hii ndio iliyo nivutia mpaka nikajawa na maswali Je kulikoni hapa...!?
Kwa muhtasari, Nuhu alikuwa amelewa na akawa uchi katika hema lake. Hamu, mwana wa pili wa Nuhu alipo muona babake yu uchi wa nyama, akawaambia ndugu zake. Kulingana na wataalam wengi wa Biblia Hamu siyo tu aliwaambia ndugu zake kuhusu kukaa uchi kwa babake, bali alifanya kitu kibaya nacho ni kumcheka babake alipomuona akiwa uchi.
Hii inachukuliwa kama ni kosa na utovu wa adamu. Na ndio sababu iliyo mpelekea Nuhu kutoa laana. Wana wengine wawili Shemu na Yafethi waliona fedhea kumuangalia baba yao akiwa uchi wakaenda kumfunika bila ya kumuangalia.
Nuhu alipopata fahamu, alijua kile ambacho Hamu alifanya na hapo ndipo alipo toa laana,
Kwa kusema... "And he said, Cursed be Canaan; a servant of servants shall he be unto his brethren.
"Na alisema, alaaniwe Kanaani na atakuwa mtumishi wa watumishi dhidi ya ndugu zake." (Si tafasiri rasmi)
Kama wewe ni msomaji makini utashindwa kugundua kichekesho hapo:
I think many readers they didn't catch the joke.
Nitakusaidia hapa:
Nuhu alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.
Sawa?
Hamu alikuwa watoto wanne: Kushi, Mizraim, Phut na Kanaani.
Ukiliangalia vema ili andiko kuna swali hapa linaloibuka:
"Ni mtoto yupi wa Nuhu aliye uangalia uchi wa Nuhu?"
Jibu ni Hamu.
Wakristo wanasema kwamba kitendo cha Hamu kilikuwa ni dhambi.
Tunakubali ... sawa!
Hiivyo kulaaniwa ni sawa.
Tupo pamoja...!
Sasa hoja inakuja. Ni nani alipaswa kulaaniwa?
Hamu au Kanaani!?
Lakini mbona biblia imefanya Ufisadi na dhurma kubwa kwa kumlaani mtoto mdogo asiye na hatia Kanaani...? Kwa nini Hamu asilaaniwe yeye akalaaniwa mwanawe?
Is this justice or madness?
Hivi inakuwaje baba apelekwe mahakamani kwa kosa la kuuwa, kisha apatikane na makosa, alafu adhabu apewe mwanawe?
Once again, is this justice or madness?
I leave the verdict to the readers.

0 comments/Maoni:
Post a Comment