Uongo wa Mabikira (wanawali) 72!

Mojawapo ya propaganda kubwa kabisa inayo enezwa na makafiri wa kiyahudi ni ile hadithi ya wanawari (Bikira) 72. Masimulizi haya yanaenezwa sana kupitia vyombo mbali mbali vya habari pamoja na tovuti zao. Hali hii imekuwa ikirudiwa rudiwa kiasi ya kwamba ulimwengu wa kimagharibi umemeza uongo huo na kuuona kama ni ukweli.

Vyombo vya habari vinataka tuamini kwamba wanacho fanya Waisraeli na nchi za Kimagharibi kuvamia na kuuwa raiya wasio na hatia ni sawa kabisa kwa kuwauwa Wapalestina na Waislam wengine katika nchi zao.

Watu hawa ni wagonjwa wa akili na wanapaswa kudharauliwa kwa sababu wao wanaona ni haki yao kushambulia nchi za Kiislam, kuiba mali zao, kuua na kusababisha madhara kwa wengine lakini hao wanao shambuliwa wakithubutu kupambana nao inaonekana ni makosa na kutangazwa kuwa ni magaidi.

Hii ni mojawapo za sera za Israel wakisaidiwa na nchi za kimagharibi ili kufikia sera zao. Wanaamini kuwa wao ni bora na wanastahili na wana haki ya kufanya chochote kwa watu wengine na hawastahili kulipizwa kisasi.

Leo hii kuna propaganda kubwa inaenezwa na vyombo vya habari vya kimagharibi. Kampeni hii kubwa inayoendelea ni kuwafanya walimwengu kuamini kuwa Waislam ni magaidi na wanajiuwa ili wende kupata wanawali (mabikira) 72 uko peponi wanako amini kwenda baada ya kuwauwa watu wengine...

Qur'an na valid authentic Hadithi vimeweka wazi jambo ili la mtu yeyote anaye jiuwa

Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto, na alikuwa akiwaambia: (...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.)”
Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1744, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 3015

Alisema pia: (Mwenye kumuua mtu aliye katika mkataba na Waislamu, hataipata harufu ya Peponi, ingawa harufu yake hupatikana mpaka katika umbali wa mwendo wa miaka arubaini).
Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1731, na At-Tirmidhiy, Na, 1408

Kuna ayah na hadithi lukuki zinazo laani kujiua lakini napenda pia hapa kuweka ayah kutoka kwenye Qur'ani. Inayopiga marufuku na kwa dhati kwamba hakuna malipo kwa mtu yeyote ambaye anafanya hivyo.

Kutoka kwenye Qu’an tunafahamishwa hvi:

Enyi mlio amini! Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa iwe biashara kwa kuridhiana wenyewe. Wala msijiuwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwarehemuni.
Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu
Q 4:29-30

Basi mbona tunasikia tena kuna hawa wanawali (Mabikira) 72, wanawali ambao watazawadiwa wale watakao jiuwa?

Hakika hakuna kitu kama hicho kwenye Uislam. Waislam baada ya Qur’an uangalia kwenye Hadithi katika maamuzi, tunapata hadithi sahihi kutoka Bukhari na Muslim na mapokezi mengine yalio hakikishwa usahihi wake.

Kuna hii hadithi ambayo mara nyingi ndio unakiriwa kuelezea kuwa Waislam watakuja kupata hao mabikira 72 pale tu watakapo jitoa muhanga na kuuwa wengine, Hadithi ambayo tunaambiwa ni kutoka Sunna al-tirmidh:

[quote]Sunan al-Tirmidhi Hadith 2562 says:

The Prophet Muhammad was heard saying: "The smallest reward for the people of Paradise is an abode where there are 80,000 servants and 72 wives, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine, and ruby, as wide as the distance from Al-Jabiyyah [a Damascus suburb] to Sana'a [Yemen]" ...end quote

Hii Hadith ukiisoma kwanza haisemi lolote kuhusu Mabikira wala wanawali, 72 pili hii ni mojawapo ya mamia ya hadithi dhaifu nay a uongo maana haina Sanad inayokubaliwa na Uislam.

Waislam hatuamini Hadiyth iliyosimuliwa na Mudallis, mtu mwenye kubadilisha majina ya mashekhe au ya miji akijua kuwa anawadanganya wasikilizaji wake, au muongo ‘Kadhaab’ anayependa kuwadanganya watu katika mambo ya kidunia ambaye hatoshindwa kuwadanganya katika mambo ya dini.

Na vipi mtu ataweza kuifanyia kazi Hadiyth Mudhtwarib inayogongana na Hadiyth sahih au Hadiyth Matruk iliyodhoofishwa kwa ajili ya tabia ovu za msimulizi kwa ajili ya uongo na ufuska n.k.

This is a cruel and ugly lie about Islam that has been so widely perpetuated that it is accepted as fact. Corrections to the association of Islam with suicide and the killing of innocents are not made in the media. Instead it is glued even tighter by reporting that NOT a person disobeying Islam, but a Muslim imbued with Islamic religious fervor committed a suicide.


Ebu basi tutupie macho yetu kwenye bibilia... Tukiangalia kwenye biblia tunakuta mambo kama haya:

Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye. Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.
Numbers 31:17-18

Kuna huyu Mtu alijulikana kwa jina la Samsoni:

Samsoni akamwita Bwana, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.

Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
Samsoni akasema; Na nife pamoja na hawa Wafilisti. Akainama kwa nguvu zake zote; ile nyumba ikawaangukia hao wakuu, na watu wote waliokuwa ndani yake. Basi wale watu aliowaua wakati wa kufa kwake walikuwa wengi kuliko wale aliowaua wakati wa uhai wake.
Judges 16:28-30

So my point is, for those who criticize the Muslims, they should first criticize their own Bible. They should first mention that their very own Bible is a "Homicide Bomber".

And I asking them to show Muslim in the Bible where GOD Almighty condemned the actions of killing ennocent kids and women.

0 comments/Maoni: